Pages

Tuesday, February 10, 2015

TUESDAY SPECIAL

Unstoppable

jeshi la mtu mmoja



moi n Linex
Jamani sipo hapa kufungamana sehemu mmoja, unajua mnaosema kila siku namtetea Zari sijui huwa mnanichosha sana kwakuwa this is a blog, and i respect people's views ndo maana hata akisemwa vibaya mie naweka comment kwakuwa ni mawazo yako not yangu, ningekuwa namtetea ningeweka comment zake mbaya? mbona mnakuwa hamsomeki this is a blog not a friendship zone so chochote kinachoandikwa  humu na kiacha kama kilivyo either ni kibaya ama kizuri...... 

kasi ya matumizi mabaya ya Internet inaongezeka, je tupo salama?? matusi yam ezidi mno account fake ya Team zote za ajabu as if wanalipwa.
hivi zile aacount fake za IG regardless ni ya nani huwa ni die hard fans kweli ama ni wahusika wenyewe? ama wahusika wanatumia watu ili kufanya ujinga kama ule

Daah inasikitisha sana kuna tofauti kati ya kwenda shule na kuelimika

kama una maoni tukutane katika comment 




No comments:

Post a Comment