kila unavyomuuliza atakwambia mama ndo anajua,kiufupi simlaumu kusikiliza mamaake kwa sababu ndiyo anahangaika nao tangu wadogo mpaka sasa ana maisha yake lakini it is too much namuona kama mwiba kwangu,
magomvi kila siku hayaishi,hajali feelings zangu,muda mwingi yuko na marafiki zake na cousins wake wakila bata, ni mara chache sana kujitoa out tena kwa muda mfupi ananirudisha kwetu,kiukweli nampenda sana mpenzi wangu huyu Jamani nasubiri ndoa mpaka nachanganyikiwa hata posa kwetu hajanitolea,nilipeleka nikaenda kwa waganga lkn naona bure tu napoteza pesa,sasa nipo ktk maombi,na bado sijaona mwanga,nishaurini nifanyeje huyu bwana anioe
No comments:
Post a Comment