Yanayotokea nje ni lazima hapa tu report maana hii ni globalization dunia iko ktk kijiji kimoja yanaweza pia yakamkuta mtu hapahapa ama yameshamkuta mtu, jamani wanawake mie nasema sio lazima kuolewa na Mungu ndiye anapanga watoto, sasa huyu mwenzetu baada ya kufika miaka 3o akaamua kujiuwa akijiona kwamba amekuwa mtu mzima hana mtoto wala mume, si jambo la kucheka maana huwezi jua the pain she was going through lakini kama kioo cha jamii naomba sana umuombe Mungu akupatie mtoto ukiwa hujabahatika shukuru pia Mungu maana unaweza ukazaa mt oto akawa chakula cha wageni sasa hapo umezaa ama unaomba dunia ipasuke?? jua kwamba kila jambo lina sababishwa na Mungu usisonononeke na kujiona mpweke please life goes on as long as unapata hela yako ya uhakika ktk maisha wala usipate shida i know how you feel please usifikie uamuzi kama huu, au ukajiona wewe Mungu amekuadhibu shukuru kwa kila jambo...
NB
my dearest followers/ fans naomba muelewe my life ni kwaajili yangu mie na my family tuu im not ashamed kumuweka mtoto wangu popote but i follow rules and protocol and for that case msiniambie i have a handsome boy coz sio wangu, ipo siku wakikuwa labda naweza kuwaweka Mungu akipenda ndo mtawajua vizuriiii na weusi wao but wangu lol, ndio Mungu amenipa na nashukuru, wengine wanatafuta hata huyo mweusi hawapati kudadeki muniwacheee,,, im not stupid ku comment there more kwenye page ya biashara kama vile so i wish you all the best... luv u sana .... watoto wa marafiki zangu pia ni wangu mpaka sasa wanaogopa nisipigee nao pics, mkiona IG nimeweka pics nimeziba mtoto msishangae maana wamama zao wameandamana kwangu so nitakuwa najiweka nusu yule mtoto namficha sura , maana hao wangu wanavyotafuta its good thou maana ndo nazidiiii kuwaficha, na baba yao Lemutuz anawapa hello.... yaaani ni wanene kama baba yao mnifundishe diet ya kuwapa kidogo ili wapungue.....
No comments:
Post a Comment