AKATWA MAPANGA KISA KACHELEWA KUPATA UJAUZITO
 |
| mdada aliekatwa mapanga |
Jamanii hivi wanaume wana roho gani? ni ushirikina ama ni nini yarabiiii, sasa kwani kupata mtoto si mapenzi ya Mungu iweje ummize mkeo kisa kachelewa kupata mimba perhaps wewe (mwanaume) ndio una matatizo? daaaah kuna haja ya kufanya mabadiliko sana katika jamii, heb u tuwekeze nguvu zaidi kwa maswala kama haya ili tuwasaidie wanawake wenzetu..... yaaani roho imeniuma sana sisi wanawake bado sana, haya mambo ya uenevu yanaendelea kwa sana tuu...
No comments:
Post a Comment