Pages

Thursday, January 22, 2015

WOLPER ALIA NA MA SNITCH

Jackie Wolper
Msanii Jackline Wolper Massawe amesema bora awe fundi nguo ajue moja kuliko kuwa katika kundi la ma snitch la bongo movie, alisisitiza kwamba Bongo Movie kumejaa unafiki uliopitiliza hujui nani ni adui na nani ni rafiki ...

Hivi Bongo Movie kuna nini mbaya? na nini ama nani ndio chanzo cha mpasuko???




No comments:

Post a Comment