Pages

Saturday, January 17, 2015

WEEKEND LIFE STORY



Dear Sintah.com readers

Hiki kitu kimenisumbua kama mwana jamii ndio maana nimekileta hapa, wengi sana ambao wapo ktk mitandao ya jamiii ni vijana, na sasa watoto ndio wanashika hatamu kutumia smart phones zao ili wapate access, je kama mzazi, mlezi unajisikiaje pale mwanao anapokuwa busy na social media?? watoto wa siku hizi wanakuwa haraka sana, miaka 13 viziwa vimeanza kuchomoza na akiingiia ktk internet anakumbana na pics kama hii hapa ya chini

kama mzazi/mlezi naomba leo tuache darasa la mapenzi tuingie katika jamii zaidi...... sio wazazi/walezi pia kaka, dada mdogo wako yupo busy na social media na wewe ndio mlipa ada unajua mwishowe itatokea nini?? lets discuss and share our views on this.

kama huna la kujadili pita kimya plizzzzzz, na ukijadili utumbo tutajua upo upo tuu kama wale wanaolala mchana kutwa usiku kuvamia ma bar kunywa michemsho ya bure na beer ***** ni kale leo tupo katika vitu vya maana.. 










No comments:

Post a Comment