Tawi jipya la supermarket kubwa bongo, Uchumi Supermarket limefunguliwa mbezi karibu na rainbow social hall kwenye ile petrol station sasa w akazi wa mbezi mashopping mazagazagaaa mnaanzaje sasa kukosa kufika pale ... njoo uwe mmoja ya familia yetu Uchumi Supermarket ni kwa wote mtoto mpaka mkubwa....


No comments:
Post a Comment