Pages

Saturday, January 31, 2015

SHISHI BABY AMTANDIKA MCHUMBA WAKE HADHARANI

mtu na baby wakeeee
Mwanamuziki Shishi beibeeee, ameonyesha utomvu wa nidhamu baada ya kumchabanga mchumba wake aliemvisha pete hivi karibuni katika kadamnasi ya watu kibao, hii ni adabu kweli kwa mtu uliefundwa hata kama mchumba wako ana problem kumchambanga makofi hadharani?? sasa ukiambiwa un amtawala utasemaje loooh kama nilikuwa namuona nuhu kwa alivyoshushuka fikiria kukung'utwa hadharani vile daaah mapenzi yaacheni tu utakuta sasa hivi wanalala kitanda kimoja na wameshasahau yote haya..... love is blind for those who are blind- Lynn Andesron RIP




No comments:

Post a Comment