Kama huku sio kutafuta followers ni nini?? umeshaona wapi mtu ana negotiate na mtu mapenzi?kama amezama?? this is what i call seeking attention na followers ila kwakuwa mnapenda umbea na yeye anawapa vya uongo mnamjazia follower burudani kwake....
hivi mwanaume kabisa anayejielewa anaweza akaandika hivi ktk IG ??umeona wapi na hii ya pili?? upupu mtupu endeleeni kumjazia followers na inamaanisha imewaumaa mbayaa kwakweli kama ningekuwa mie Ivan ningepiga kimya mtu asijue maumivu yangu lol watatetemekaaaa 28th feb something bigggggg inakuja

No comments:
Post a Comment