Pages

Monday, January 26, 2015

MONDAY SPECIAL

Okay ni siku ya  nyingine na ni mwanzo wa week hivyo inatupasa tuchangamke sasa mada ya leo ni kukuta katika weekend hii yaani tukio lipi lilikusimua wewe/kitaani/mji hebu share with us katika comment tujue vitu fulaniii hivi vilivyotokea weekend.... niambieni nani alinuna mtaani, nani alifurahia nani alikechiiiii 

NB
Naomba mtu asije akanitajia kampuni ya simu please wadhamini wetu ni Airtel tuu na kama kuna kutaja kampuni ya simu iwe ni Airtel ni Airtel pekee inayoniwezesha mimi kuwasiliana nawe so sitaki kufaidisha wengine na wakati blog imelipiwa na Artel sifanyi cheap promo......





No comments:

Post a Comment