Pages

Friday, December 19, 2014

VICKIE LINGERIE IS THE PLACE TO BE........ NEW BRANCH DAR FREE MARKET

uwiiiiii Vickie niwekee hii inahusu kwa sasa



Yes wadau wetu tunauza nguo za ndani na accessories nyingi kama backless bras , butty lifters and boosters, underwears swimming costume night dresses na pajamas 
pia tunauza corsets za kila aina na vitu vyote viko katika maduka yote mawili  kwa bei sawa kabisa karibuni.. 

Raha ya biashara shurti uende ukatizame atiii uone ipi inakutosha,mimi ni mmoja ninaefaidika sana na bidhaa za vickie Lingerie soon utaona mafanikio yangu kwakweli pale hakuna mambo ya fake vitu ni original tu, kama wewe ni mwanadada wa kileo tembelea Vickie Lingerie kwa mahitaji yako yo te ili umdatishe shemeji kuanzia asubuhi mpaka usiku....


Dar Free Market 0659 162221 Ground Floor shop no 40 (kwa wale wanaohitaji parking mnajijua oooh hapa hamna parking sasa Dar Free Market Parking za kumwagaaaa) bei ni ile ile za kinondoni na Dar free market

Kinondoni Manyanya 0718 442203





No comments:

Post a Comment