Pages

Friday, December 26, 2014

USIKU WA BLACK n WHITE



kata keki tule

cute




mama la mamaa

wakaka nao walikuwe po

mwaaaa

kaka Manager

< /tbody>
fashionistaaa
pose tu mie hoi 
watu pipoooo
Sherehe ilifana mnoo hizi ni baadhi ya pics, watu walitokelezea ni balaaa, yaani katika watu wanaompenda huyu mama ukiniondoa mie, ni Martin Kadinda sijui umwambie party gani ya Auntie Asia na asiende Martin daaah yaani ana upendo wa hali ya juu na Aunt Asia, kupitia website hii mtambue Martin kuwa ni zaidi ya mwanao mpaka sisi wa nje tumeona, hongera sana Auntie Asia kwa kutimiza hio miaka, sisi qwngine tunamuomba Mungu atujalie tufike hio miaka ,,,, kila la kheri nadhani umejua excuse yangu why i never showed up next time tutakuwa pamoja Inshallah




No comments:

Post a Comment