Hellow
Loe kwa kuwa ni siku maalumu ningependa tujadili hili swala
Kuongezeka kwa wamama watu wazima kutembea na viserengeti boys nini chanzo la tatizo hili?
Kutoridhishwa na waume zao? maaumuzi tu anafanya ama ni nini? hii mada imeletwa kwenu kwakuwa kwa sasa wamama wengi wanabanana na sista duzzz na hawana kabisa aibu kuwa huyu mtoto ninaweza kumzaa.
ingawa wengi wanasema umri haujalishi katika mapenzi ila ki Africa ni kambo la kushangaza ukionekana mtu mzima na kijana mdogo ndoi maana wanachekwa na kutungiwa jina la Serengeti Boys.
Tujadili
NB
Matusi tuyaepuke, tutumie lugha ya tafsida....
No comments:
Post a Comment