Pages

Sunday, December 21, 2014

SATURDAY SPECIAL

picha hii inaongea maneno elfu moja

wale mliotaka kujua why sijaenda

Katika maisha unatakiwa  ujue namna ya kucheza na watu, wabongo mnaongeaa sana halafu madebe matupu watu wengi walijua Chameleone na zee wana beef( maana wabongo wakiona show zimegongana watatengeneza beef )ila kwa Ug ndiooo kwanza raha.... thats why i call it, New York of Africa maana ku party ni sehemu ya maisha yao

kwanza kwa uelewa zilikuwa ni show mbili tofauti ndio maana chameleone alipomaliza alienda kum support dada yake...

  chameleon alikuwa anafanya fund raising while zari as usually ni party yake anafanya every end of the year...

kwanini hatujifunzi kwa  wenzetu wanavyozitumia hizi social network vizuriii

daaah kuna watu wanaakili mgando oooh sintah mbona hujaenda my furendii she is making money n i have my responsibilities as well , ningekuwa free ningeenda mie sio shika twendee eeeh... mlitaka kujua haya mmejua lolest......  ila party ilinoga sijui kwanini mitihani ilidondokea week ya white party khaaa..

twendeni mbele na turudi nyuma Zari anajua kutukana kikubwa??





No comments:

Post a Comment