Pages

Friday, December 19, 2014

ONJA




Yaliojiri jama white party ya Zari wakati tunasubiri picha zilizoenda shule na kiwango, hebu onja jinsi Chibu alivyopagawisha, maana ilikuwa ni balaaa, ama kweli Chibu ana nyota anawaimbia waganda nyimbo za Kiswahili wamo tuuu, kwa ufupi alifanya show nzuri sana, maana bado wamelala wakiamka watatuma pics kwa sasa tuwache walale ,enjoy ka video kiduchuuuuu





No comments:

Post a Comment