Miss Tanzania ya mwishoo |
Kilio cha Wa Tanzania wengi kimesikika sasa, maana wengi waliomba Miss Tanzania ifungiwe ili irudishe heshima ya mwanzo maana Lundenga alishatuchosha mara atuletee Miss sie, mara achak achue ili mradi tuu shindano halieleweki mwanzo mwisho, yaani natamani BASATA wampe mtu mwingine mwenye adabu zake kuliendesha hili shindano ili lirudishe hadhi ya kimataifa khaaaa yaani limekuwa doro sasa hivi halinivutii tena .....
hili ni shindano lilikuwa moja ya shindano kubwa Tanzania kuishia ukingoni si jambo zuri kabisa, wawekezaji na company kubwa watusaidie kurudisha hadhi ..... na sijui kama Miss mwenyewe kapewa hio Mil 18 yake... i doubt , shindano limekaa kiujanja janja....
No comments:
Post a Comment