Pages

Saturday, December 6, 2014

KIM K AMUANGUSHA BEYONCE.......

Kim K n Queen Bey
Yeahhhhhh mdada mwenye drama za kupitiliza Kim K West mama wa ku break ze Internet amemshinda Queen Bey kwa mdada maarufu anaeangaliwa sana duniani na watu, wengine walioshika namba katika watu wanaongaliwa sana katika mitandao ni

 1. Kim Kardashian
2. Beyonce Knowles
3. Miley Cyrus
4. Katy Perry
5. Justin Bieber
6. Joan Rivers
7. Jennifer Lopez
8. Kendall Jenner
9. Kaley Cuoco
10. Robin Williams


kumbe Drama inasaidiaaaa eeeeeh  haya duuuuz wabongo na nyie msibaki nyuma



No comments:

Post a Comment