Pages

Wednesday, December 3, 2014

KHANGA PARTY KHANGA PARTY


Haya sasa Jumamosi hii tukutane Safari Carnival, unajua kuvaa khanga wewe? mishono? njoo na upite katika red carpet matata kabisa huku ukikinyuka kivazi chako cha khanga, kwa mtonyo wa sh 10,000 tu na huku VIP ni 20,000 karibuni na tulutane Safari Carnival khanga party



No comments:

Post a Comment