Pages

Monday, December 1, 2014

HONGERA SANA CHIBU ......

Dimondo n Zari

Dimondo weeeee kwa raha zakooo

 
jamani bi Nusra alipendeza sana

Zee na mizigo mikubwaa ya Dimond



mwanamke kiwowooo haswaa ukiwa nachoo
this is horrrrrrry

haya project inaendeleaaaa
Mwisho wa mwaka na matukio mengi,ila hili kwakweli tunamshukuru Mungu Chibu wetu katutangaza vizuriiii Tanzania, well done Dimondo, kwa mvulana  mdogo,ambaye ametengeneza History ambayo haijawahi kutokea nchini , kwenye sifa tumpeni sifaaaaaaaaa zake, na mengine tumuachie mwenyewe....

PS
Kwa wasanii wengine wanaochipukia ama wapo katika game wasife moyo tunaweza na kazeni butii arifeeeeee



No comments:

Post a Comment