Pages

Wednesday, December 31, 2014

DUNIA MAPITO

Rwanda Genocide Memorial
pole Zee

Wa Tanzania wenzangu hebu tudumishe amani na mshikamano, wenzetu wanaitamani hii amani, ona jinsi mdada wa watu anavyobubujikwa na machozi kwa yaliyotokea Kigali..

Naomba nichukue nafasi  hii kwa kuwa tunaanza mwaka mpya na ni mwaka wa uchaguzi basi tujikumbushe na yaliyotokea kwa wenzetu na tushikamane na kuwaumbua wanaotaka kutuharibia.

 amani na upendo ndio ndio urithi wetu tuliochiwa na baba wa Taifa basi tuuendeleze.




No comments:

Post a Comment