![]() |
| wow |
![]() |
| lolest |
Katika maisha ya rahaaaa, nani aisetamani kuishi katika nyumba kama hii??? tuseme ukweli mie natamani je wewe?? kuna watu wanaishi jamani haaaa wengine tunajiegesha, sema tu lazima ujikubali usije ukaenda iba bureee, ila matamanio yapo.... usinune wala kutoa maneno machafu ndio hali halisi ya dunia, vidole havilingani aliepata amepata usijaribu kumshusha chini, fanya kazi kwa bidii ili na wewe uwe kama yeye so kwa kuongea pumba+mashudu ndio ujue utamshusha no wayyyyy watu wanapiga mzigo kiukweli ukwelii...
sasa wengine wakina mwanafulenge unaweza ukawa na nyumba kama hii na bado ukaweka jiko la mkaa ndani ukawa unachemshia maharage...... kwani ni nyumba ya nani hii???
mimi huwa sipendi unune jamani hii ni entertainment website so its all about kujichekesharinggg ukitaka hard news nenda web ya BBC


No comments:
Post a Comment