MAMBO YANAZIDI KUIVAA ...... A OR B???
 |
| girl or Boy |
Watu pipooooooo, Jamani Zari na Dimondo wanamsuguano kidogo kila mmoja anavutia kwake Mondi Bin Laden anataka Chibu jr while dada Zarina anataka baby girl.....kama wewe ni fan wao wa ukweliiiii unataka mtoto wao wa kwanza awe jinsia gani?? kiupendo tu kama fan
Leo ni ijumaa so full kujiachia a boy or girl???
No comments:
Post a Comment