Pages

Friday, October 24, 2014

Breaking: Polisi wamezungumza kuhusu Chidi Benz kukamatwa Airport leo na dawa za kulevya

Kuna taarifa zilitoka on millardayo.com leo jioni kuhusu msanii wa muziki wa kizazi kipya Chidi Benz kukamatwa na dawa za kulevya  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akiwa anaelekea Mbeya kwenye show ya Instagram Party ambayo inatarajiwa kufanyika kesho. millardayo.com iliahidi kuzifatilia hizi taarifa kwa Polisi ili kupata uthibitisho...

The post Breaking: Polisi wamezungumza kuhusu Chidi Benz kukamatwa Airport leo na dawa za kulevya appeared first on TZA_MillardAyo.





No comments:

Post a Comment